HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Wa Vyuo Walilia Uhaba Wa Malazi Vyuoni Mombasa.

Idadi kubwa ya wanafunzi wanaosajiliwa katika vyuo vya kiufundi kaunti ya Mombasa imetajwa kuwa chanzo cha  uhaba wa vyumba vya malazi kwa vyuo husika.

Viongozi wa wanafunzi katika vyuo hivyo ikiwemo chuo cha TUM sasa wanataka mamlaka za vyuo kuwajibikia suala hilo  wakidai hali iliyopo inahatarisha maisha ya wanafunzi wanaojitafutia vyumba katika mitaa isiyo salama  kwani baadhi yao wamekuwa wakivamiwa na kupokonywa vifaa muhimu kama vile vipakatalishi.

 

 

Show More

Related Articles