HabariPilipili FmPilipili FM News

Waziri Amina Atoa Hakikisho Lakutokua Na Udanganyifu Kwenye Mitihani Wa Kitaifa.

Wasimamizi wa vituo vya mitihani ya kitaifa ndio watakao ruhusiwa kuwa na simu za rununu.

Hiyo imetajwa kuwa  njia mojawapo ya kuthibiti visa vya wizi wa mitihani, ikizingatiwa kuwa awali simu zimekuwa zikitumiwa visivyo kusambaza mitihani katika mitandao.

Wizara ya elimu inasema pia vifaa vyote vya mitihani vitawekwa chini ya mkurugenzi wa elimu wa kaunti, na manaibu kamishna wa kila kaunti.

Yakijiri hayo Waziri wa elimu Amina Mohmaed ametoa hakikisho kwamba mwaka huu hakutashuhudiwa visa vya wizi wa mitihani.

Show More

Related Articles