HabariMilele FmSwahili

Mutua azindua mpango wa elimu bila malipo kwenye taasisi 36 za kiufundi Machakos

Gavana wa kaunti ya Machakos Dkt Alfred Mutua amezindua mpango wa elimu bila malipo kwa wanafunzi kwenye tahasisi 36 za kiufundi za umma kaunti hiyo.Aidha ametangaza kutolewa kwa shilingi milioni mbili kwa kila wadi zitakazowafaidi wanafunzi wa shule za upili kupata elimu bila malipo.

Show More

Related Articles