MichezoPilipili FmPilipili FM News

Henrikh Mkhitaryan Kuikosa Mechi Ya Europa Dhidi Ya Qarabag.

Mchezaji wa pembeni wa Arsenal ambaye pia alikua mchezaji wa Manchester united Henrikh Mkhitaryan ataukosa mtanange dhidi ya Qarabag siku ya Alhamisi katika ile ligi ya uefa europa.

Lakini najua wengi wanajiuliza kwa nini ataikosa mechi hii, wengine wakidhani ni jeraha lakini la hasha sababu itakayomfanya mchezaji huyu kuukosa mtanange huo ni ugomvi uliopo baina ya inchi yake ya Armenia na Azerbaijan ambapo hakuna mu-armenia aneruhusiwa kuikanyaga ardhi ya Azerbaijan ingawa serikali zote mbili ziko kwenye mazungumzo kuleta uiano wa angalau kumruhusu mchezaji huyo ingawa Arsenal tayari imetupilia mbali mazungumzo hayo na kuamua kumuacha mchezaji kwa kuhofia usalama wake.

 

 

Henrikh Mkhitaryan

Show More

Related Articles