HabariSwahili

Tinga tinga zinazosafirisha miwa magharibi mwa Kenya ni kero kuu 

Tingatinga zinazobeba miwa katika maeneo yanayokuza sukari magharibi mwa nchi zimekuwa kero kwa wengi, kutokana na kutofuata sheria za barabarani, kando na kusababisha ajali nyingi.

Baadhi ya familia zinalia kwa kuwapoteza wapendwa wao, huku madereva wa tinga tinga hizo wakionekana kutojali.

Frankline Macharia alisafiri hadi eneo la Migori na pia magharibi mwa nchi , na anaelezea ni kwa nini hatua makhsusi zinastahili kuchukuliwa  ili kusitisha maafa ya tingatinga za miwa.

Show More

Related Articles