HabariPilipili FmPilipili FM News

Polisi Waombwa Kukoma Kuwahangaisha Wauzaji Mnazi.

Polisi Waombwa Kukoma Kuwahangaisha Wauzaji Mnazi.

Wito umetolewa kwa idara ya utalii kaunti ya Mombasa kuwatengea mahali maalumu wafanyibiashara wa pombe ya mnazi, ili kuondoa visa vya kusumbuliwa mara mara kwa polisi.

Mwakilishi wa wadi ya kipevu Faith Mwende anasema hatua hiyo itasaidia kukusanya ushuru kupitia biashara hiyo, na kuendeleza maendeleo ya kaunti.

Amewataka polisi kukoma kuwasumba wauzaji wa mnazi akisema wengi wao ni maskini ,hivyo kuwahangaisha ni sawa na kuwanyanyasa haki zao za kimsingi

Show More

Related Articles