HabariMilele FmSwahili

EACC:Wenyeji wa kaunti za Mandera na Kisumu ndio wanaoongoza kwa kutoa hongo

Wenyeji wa kaunti za Mandera na Kisumu ndio wanaoongoza kwa kutoa hongo.Mwaka jana pekee wenyeji wa Mandera walitumia kwa wastani shilingi elfu 35 kusaka huduma mbali mbali huku wenzao wa Kisumu wakitumia hadi shilingi elfu 26,762. Utafiti wa EACC kati ya Septemba 18 mwaka jana na Oktoba 24 mwaka huo kaunti ya Turkana aidha ilioongoza katika orodha ya kaunti zilizoitisha hongo ili kupokea huduma.Halake Waqo ni afisa mkuu mtendaji wa EACC

Show More

Related Articles