HabariMilele FmSwahili

Serikali yatumia shilingi bilioni 15 kufanikisha mitihani ya kitaifa

Serikali imetumia shilingi bilioni 15 kufanikisha mitihani ya kitaifa ambayo inatazamiwa kuanzia mwishoni mwa mwezi huu. Katibu wa elimu Belio Kipsang anasema fedha hizo zimetumika kununua vifaa vya mitihani pamoja na kuchapisha karatasi husika. Kipsang kadhalika amekanusha madai ya kusambazwa karatasi hizo za mitihani mapema huku akionya wanaolenga kushiriki udanganyifu watakabiliwa kwa mujibu wa sheria

Show More

Related Articles