HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakulima Wa Korosho Kilifi Kutabasamu Karibuni.

Huenda wakulima wa  Mkorosho eneo hili la Pwani wakapata afueni ya zao hilo.

Hii ni baada ya  muungano wa wabunge hapa Pwani kutangaza mipango ya kukifungua kiwanda cha mkorosho kilichofilisika.

Aisha Jumwa ambaye ni mbunge wa Malindi anasema  wameandaa mazungumzo na Serikali ya kitaifa na zile za Kaunti, kuhusiana na swala hilo ambalo amelitaja kuwa muhimu katika kukuza uchumi wa pwani.

Show More

Related Articles