HabariPilipili FmPilipili FM News

Sheria Ya Ushuru Kufanyiwa Marekebisho.

Baadhi ya wabunge sasa wameapa kuifanyia marekebisho sheria mpya ya ushuru wa mafuta.

Wakiongozwa na Mbunge wa Wundanyi kaunti ya Taita-taveta Danson Mwashako ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya makadiro ya bajeti bungeni, wamelalamikia hali inayomkumba mwananchi, wakidai ukosefu maelezo bayana yanayofungamana na ushuru wa ujenzi wa Nyumba.

Wamelalamikia bei ya juu ya mafuta ya taa sawia na kupunguzwa kwa pesa zilizokadiriwa kufanikisha maendeleo mashinani kwa manufaa ya mwananchi.

Show More

Related Articles