HabariMilele FmSwahili

Millie Odhiambo akana madai ya kupanga njama ya kuvuruga udhabiti wa Jubilee

Mbunge wa Mbita Millie Odhiambo amekana madai ya kupanga njama ya kuvuruga udhabiti wa serikali ya Jubilee. Odhiambo amepinga kauli ya naibu rais William Ruto kuwa kinara wake Raila Odinga anatumia mwafaka kati yake na rais Uhuru Kenyatta kumhujumu naibu rais. Kadhalika   ametaja madai ya naibu rais kuwa Raila alishawishi kufikishwa kwake katika mahakama ya Hague kuwa porojo za kujitafutia umaarufu kisiasa.

Show More

Related Articles