K24 TvNEWSSwahiliVideos

MAUTI BARABARANI: Watu 12 wafariki kwenye ajali katika barabara ya Nairobi-Nakuru

Watu 12 wamefariki huku zaidi ya 20 wakijeruhiwa baada ya basi kwa jina Climax walimokuwa, kugongana ana kwa ana na lori usiku wa kuamkia Jumapili katika eneo la Sogea-Gilgil kwenye barabara ya Nakuru kuelekea Nairobi.

Abiria waliojeruhiwa kufuatia ajali wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali tofauti kaunti ya Nakuru.

Show More

Related Articles