K24 TvNEWSSwahiliVideos

LISHE MITAANI: Kitoweo cha wadudu aina ya Chenene ukipenda ‘Cricket’

Katika dunia ambayo bado mataifa yanajizatiti kuhakikisha kwamba binadamu hafi kutokana na njaa, mashamba yanayokuza kilimo yanazidi kuwa nadra kabisa na kulazimu serikali kutafuta njia mbadala ya kukuza kilimo.

Katika eneo la Nyamasaria, kaunti ya Kisumu, mkulima mmoja amejitosa kwemye ufugaji wa Chenene ukipenda ‘cricket’ kwa kimombo kama chakula mbadala kisichozoewa na wengi.

Show More

Related Articles