K24 TvNEWSSwahiliVideos

BWAWA LA MAUTI TRANS NZOIA: Watu 39 wameripotiwa kufa maji eneo la Molem

Maji ni uhai na ni msingi wa uzima kwa kiumbe yeyote. lakini kwa wakazi wa Molem, kaunti ya Trans Nzoia, uwepo wa bwawa pekee la maji eneo hilo una manufaa na pia changamoto kwani bwawa hilo limegeuka na kuwa kichinjio si cha mifugo tu bali hata watu, ikizingatiwa kuwa takriban zaidi ya watu 39 wamepoteza maisha yao katika bwawa hilo.

Show More

Related Articles