HabariSwahili

GENGE LA MAUTI KAYOLE : Wenyeji hasa wahudumu wa matatu wadai kuhangaishwa 

Genge hatari la Mungiki linatuhumiwa kurejea jijini Nairobi hasa katika mtaa wa Kayole, ambapo wanadaiwa kufanya uhalifu wao wakishirikiana na  polisi na kuwaua wahudumu wa magari ambao wanakaidi maagizo yao.
Kama anavyoripoti Lenox Sengre, katika kisa cha hivi majuzi kikundi hicho kinachojiita Kamagera kilimuua kikatili mhudumu mmoja wa Forward Travelers na kupelekea  maandamano katika eneo hilo la Kayole.

Show More

Related Articles