HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanaoonyesha Filamu Zinazokiuka Maadili Kukabiliwa Vikali.

Bodi ya kudhibiti ubora wa filamu nchini KFCB imetoa onyo kwa wanaoonyesha filamu zinazokiuka maadili kwamba watakabiliwa kisheria.

Hayo ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa KFCB EZEKIEL MUTUA, ambaye ameshikilia kwamba hawatoruhusu filamu zinazokiuka maadilia ziendelee kuonyeshwa humu nchini, akisema zinaporomosha maadili ya taifa.

Show More

Related Articles