HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakaazi Wa Lamu Wagadhabishwa na Hatua Ya Ekari 70,000 Kutengewa Lapset.

Serikali ya kaunti ya Lamu imegadhabishwa na hatua ya serikali ya kitaifa kuchukua zaidi ya ekari 70,000 kwa mradi wa lapset,na kudai waliolipwa fedha hizo si wenyeji wa lamu na haijulikani ni vipi walipata vibali vya umiliki wa ardhi hizo.

Gavana wa kaunti hiyo Fahim Twaha amelaani kitendo hicho na kusema kamwe hatakubali ardhi hiyo kutumika kwa ujenzi wa bandari ya Lapset, ambayo kwa sasa inaendelea huku wananchi wake wakibaki kulalamika baada ya kudhulumiwa.

Show More

Related Articles