HabariSwahili

Wasiotambulika : David Kimani anasaidia jamii kuondoa ujinga Kilifi

Kaunti ya Kilifi inaorodheshwa kama moja ya maeneo humu nchini ampapo viwango vya elimu vipo chini mno, huku kukiwa na idadi kubwa ya watoro shuleni haswa wanafunzi katika shule za msingi.
Mwanafunzi mmoja katika chuo kikuu cha Pwani, baada ya kupata ushindi kwenye kipindi cha kibiashara kwenye runinga, alitumia pesa zake za ushindi kuanzisha kituo cha mafunzo akilenga watu wazima ambao walikosa nafasi ya elimu wakiwa wadogo na wale kwa njia moja au nyingine, hawakumaliza masomo yao katika shule ya msingi.

Show More

Related Articles