HabariMilele FmSwahili

Mwanahabari Jacque Maribe ahojiwa katika makao makuu ya DCI

Mwanahabari Jacque Maribe ambaye ni mpenziwe mshukwia mkuu wa mauaji ya Monica Nyawira, Joshua Irungu amehojiwa kaitka makao makuu ya DCI.Maribe alifikishwa katika makao hayo leo alasiri baada ya gari lake  kufanyiwa uchunguzi.Tayari Irungu anazuilwia akisubiri uamuzi iwapo ataachiliwa kwa dhamana au la.

Show More

Related Articles