HabariMilele FmSwahili

Mwanamme 1 amuua mkewe kwa kumdunga kisu Bungoma

Maafisa wa polisi mjini Webuye wanamtafuta mwanamme mmoja anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumdunga kisu na kisha kuenda mafichoni.Mkuu wa polisi Bungoma Mashariki Zacheaus  Ng’eno anasema  wawili hao walikuwa wanapigana kabla ya  mshukiwa Alfred Wangila kumdunga mkewe kwa kisu na kumuaa papo hapo.

Show More

Related Articles