HabariMilele FmSwahili

Wachapishaji vitabu wahimizwa kuhamasisha dhidi ya ufisadi na ukabila

Wachapishaji vitabu nchini wanahimizwa kutumia jukwaa hilo kuhamasisha dhidi ya ufisadi na ukabila.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya vitabu duka la Sarit hapa Nairobi kinara wa chama cha ODM Raila Odinga anasema mdahalo wa ufisadi unapaswa kuelekezwa kwa vitabu ili kuvifanikisha hata zaidi.

Show More

Related Articles