HabariMilele FmSwahili

Bei mpya za unga wa ugali zaanza kutekelezwa katika maduka mengi nchini

Bei mpya za unga wa ugali ya shilingi 75 ya paketi ya kilo 2 imeanza kutekelezwa katika maduka mengi ya rejareja na ya jumla nchini kama ilivyoagiza serikali hapo jana. Pitapita za Milele Fm zimebaini kwamba maduka ya jumla na rejareja hapa Nairobi, Eldoret na hata Kakamega yameshusha bei hiyo hadi  shilingi kati ya 60 na 75 kama alivyoamrisha waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri. Tuliozungumza nao wanasema hakikisho la wasaga nafaka ndio limewapelekea kuteremsha bei hiyo

Show More

Related Articles