HabariSwahili

Sauti Tajika : Moses Kanyira ni msomaji taarifa wa Kameme FM

Anajulikana sana kwa jinsi anavyojitambulisha, na kutambulisha taarifa za redio ya Kameme

Yeye akiwa kati ya wasomaji habari watajika, na walio na mihemko mno.
Si mwingine ila Moses Kanyira ambaye amekuwa katika ulingo huu wa utangazaji, hasaa kusoma taarifa kwenye radio ya Kameme Fm.

Show More

Related Articles