HabariPilipili FmPilipili FM News

Mahakama YaKiambu Yamruhusu Mshukiwa Wa Mauaji Ya Monica Kimani Kuendelea Kupokea Matibabu

Mahakama ya Kiambu imesema kesi ya mshukiwa wa mauaji ya Monica Kimani, aliyepatikana ameuwawa kinyama nyumbani kwake mtaani Kilimani alhamisi itaendelea na mwelekeo zaidi utatolewa.

Hii ni baada ya upande wa utetezi kutaka mteja wake Joseph Irungu aachiliwe ili aendelee kupokea matibabu baada ya kudai alikuwa amepigwa risasi na wezi siku ambayo mwanamke huyo aliuawa.

Waendesha mashtaka wanataka muda zaidi kumuhoji kuhusiana na mauaji hayo

Show More

Related Articles