HabariPilipili FmPilipili FM News

Wakaazi wa Utange Wahofia Maisha Yao Kutokana Na Kuharibika Kwa Daraja.

Wakaazi wa eneo la Utange hapa Mombasa wanahofia maisha wao kufuatia kuharibika kwa daraja waliokua wakitumia kuvukia.

Wakaazi hao wanasema hali hiyo imesababisha msongamano wa magari kwani hayawezi kupishanana huku pia ikihatarisha maisha ya abiria na wanaotembea kwa miguu.

Wameeleza hofu yao pia kufuatia tahadhari ya mvua iliyotolewa kutokana na ubovu wa daraja hilo wakitaka idara husika walikarabati kwa haraka.

Show More

Related Articles