HabariMilele FmSwahili

Kilonzo Junior apokea matibabu baada ya kuzirai katika hoteli 1 Nandi

Seneta wa Makueni Mutula Kilonzo Junior kwa sasa anatibiwa hospitali moja mjini Eldoret baada yake kuzirai katika hoteli moja mjini Nandi.Mutula alikuwa amehutubia bunge la kaunti ya nandi kabla ya tukio hilo.Hata hivyo yaaminika hali yake ni nzuri japo haijabianika kiini cha kuanguka na kuzirai.

Show More

Related Articles