HabariMilele FmSwahili

Mshukiwa mkuu katika mauaji ya Monica Kimani aomba kuachiliwa kwa dhamana

Mshukiwa mkuu katika mauaji ya Monica Nyawira Kimani, anataka kuachiliwa kwa dhamana.Joshua Irungu anaomba mahakama ya Kiambu kumruhusu kupata matibabu kabla ya kuendelea na kesi inayomkabili.Samson Nyaberi ni wakili wake.Hata hivyo upande wa mashtaka umepinga ombi hilo ikitaka siku 14 kukamilisha uchunguzi.Unadai majeraha aliyo nayo Irungu ni kati ya masuala yanayopaswa kuchunguzwa.

Show More

Related Articles