HabariMilele FmSwahili

Polisi Nairobi wamkamata mwanaume anayedaiwa kumuua mwanamke 1 Kilimani

Polisi hapa jijini Nairobi wamemkatama mwanaume anayedaiwa kumuua mwanamke mmoja katika mtaa wa Kilimani. Mwanaume huyo anaarifiwa kumkata shingo mwathiriwa mwenye miaka 28 nyumbani kwake katika mtaa huo. Polisi walimnasa mshukiwa anayeuguza majeraha ya risasi.

Show More

Related Articles