
Bei ya unga wa ugali na ule wa ngano itasailia ilivyo. Muungano wa wasaga nafaka umeondoa hofu ya kuongeza bei hiyo kutokana na ushuru wa asilimia 8 unaotozwa bei za mafuta. Mwenyekiti wa muungano huo Mohamed Islam anasema mwanya pekee unaoweza kupelekea kupanda bei hizo ni ukosefu wa nafaka pekee