HabariMilele FmSwahili

IEBC yakana madai ya kumfuta kazi Ezra Chiloba

Tume ya uchaguzi IEBC imekana madai ya kumfuta kazi afisa mkuu aliyesimamishwa kazi Ezra Chiloba.  Katika taarifa IEBC hata hivyo imedokeza kuwa inaendelea kutathmini hatua za kinidhamu itakayomchukulia Chiloba anayehusishwa na tuhuma za kukiuka sheria za ununuzi wa vifaa vya uchaguzi.Tume hiyo imesema itatangaza uamuzi wake hivi karibuni.

Show More

Related Articles