HabariMilele FmPeople DailySwahili

Raila ahimiza vijana kuchukua mikopo ya vyama vya ushirika kujiendeleza

Kinara wa ODM Raila Odinga amewapa changamoto vijana kuchukua mikopo ya vyama vya ushirika ili kujiendeleza. Akiongea huko Kisumu Raila amesema wakati umefika vijana kukoma kutegemea ajira.Anasema ni kupitia njia hiyo ambapo vijana wataisaidia serikali kuafikia ajenda zake za kumaliza umaskini.

Show More

Related Articles