HabariMilele FmSwahili

Watu 4 wafariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Eveready Nakuru

Watu wanne wamefariki wawili kati yao wakiwa walinzi wa magereza. Ni baada yao kuhusika katika ajali ya barabarani eneo la Eveready Nakuru.Aidha watu wengine 18 waliosalia na majeraha wamekimbizwa hospitalini kwa matibabu.Ajali hiyo inadaiwa kuhusiha magari 3.Huyu ni baadhi ya walioshuhudia ajali hiyo.Waliofika eneo hilo la Eveready kwa zoezi la uokozi walifanikiwa kuondoka na mahindi ambayo yalikuwa yakisafirishwa na lori la maafisa wa magereza waliohusika katika ajali hiyo

Show More

Related Articles