HabariMilele FmSwahili

Gavana Obado kusalia rumande katika gereza la Industrial area Nairobi

Gavana wa Migori Okoth Obado atasalia rumande katika gereza la Industrial Area hapa jiini Nairobi.  Akiwa mbele ya jaji Jessi Lesit wa mahakama ya Milimani obado amekukana mashtaka ya kuhusika katika mauaji ya Sharon Otieno aliyekuwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha Rongo. Obado anatuhimiwa kuwa kati ya mauaji ya Sharon kwa ushirikiano na washukiwa wengine ambao hawakuwa mahakakani walihusika katika mauaji ya Sharon. Upande wa masahtaka ulitaka Obado aendelee kuzuiliwa hadi jumatano ambapo unanuia  kumfungulia mashtaka mengine.

Show More

Related Articles