HabariSwahili

Wakenya wakumbuka shambulizi la kigaidi lililowaua watu 69

Washukiwa wawili wa kigaidi wamekamatwa katika mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi, saa chache kabla ya kumbukumbu za shambulizi la kigaidi la Westgate miaka mitano iliyopita, ambapo watu 69 waliuawa na magaidi.
Mwanahabari wetu Franklin Wallah anatupa taswira jinsi mambo yalivyokuwa katika duka hilo la Westgate kupitia shujaa mmoja aliyegonga vichwa vya habari kwa kuwaokoa watoto wawili wakati wa shambulizi hilo.

Show More

Related Articles