HabariSwahili

Gavana wa Migori kushtakiwa Jumatatu kwa mauaji ya Sharon Otieno

Gavana wa Migori Okoth Obado amekamatwa na makachero huku akitarajiwa kufikishwa mahakamani Jumatatu asubuhi.
Obado ataendelea kuzuiliwa  katika kituo cha polisi cha Gigiri kuhusiana na mauji ya Sharon Otieno, ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuuu cha Rongo.

Show More

Related Articles