HabariSwahili

Mzigo mzito wa gharama ya maisha wawapambaukia Wakenya

Baada ya kuidhinishwa kwa mswada tata wa kifedha na kuwa sheria, wananchi sasa wameanza kuhisi mzigo mzigo wa gharama ya maisha.
Mwanahabari wetu Angela Cheror alijiunga na mhudumu wa bodaboda hadi nyumbani kwake eneo la Ruaraka na kusimulia masaibu yake.

Show More

Related Articles