HabariSwahili

Wabunge walitumia mbinu tofauti kujaribu kuidhinisha nia yao 

Mbinu tofauti zilionekana kutumiwa bungeni kujaribu kupitisha au kuangusha mapendekezo ya rais kuhusiana na mswada wa fedha, ikiwemo baadhi ya wabunge kuondoka bungeni wakati kikao kikiendelea.
Wabunge haswa wa upinzani walionekana kukerwa na mwondoko huo katika hali ambayo ilimlazimu spika Justin Muturi kuitisha awamu ya pili ya kura.
Haya yamejiri huku juhudi za kuwarai wabunge kuvuta pamoja zikichacha ndani na nje ya majengo ya bunge.

Show More

Related Articles