HabariMilele FmSwahili

Maafisa wa tume ya kukabiliana na ufisadi waendesha msako katika makazi ya Kidero

Maafisa wa tume ya kukabiliana na ufisadi kwa sasa wanaendesha msako katika makazi ya aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero anayekabiliwa na tuhuma za ufisadi. Maafisa hao walioandamana na polisi waliwasili katika makaazi hao saa nane usiku wa kuamkia leo. Wanaarifiwa kusaka stakabadhi muhimu  katika uchunguzi wa sakata ya ufisadi.

Show More

Related Articles