HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya walimu elfu 50 kupandishwa vyeo hivi karibuni

Zaidi ya walimu elfu 50 wa sekodari na vyuo anuai watapandishwa vyeo hivi karibuni.Akiongea na Milele Fm, naibu katibu mkuu wa KUPPET Moses Nthurima anasema haya yaliafikwia kutokana na mazungumzo ya kina yaliyoandaliwa baina ya mwajiri wa walimu TSC na uongozi wa KUPPET.Hata hivyo kuwa zoezi hilo halitalenga kundi fulani la walimu bali litafanywa kwa kuzingatia utendakazi wa walimu.Pia anasema masuala ya marupurupu ya walimu yataangaziwa karibuni.

Show More

Related Articles