HabariK24 TvSwahiliVideos

MTAFARUKU WA PUMWANI :  Kamati ya Seneti kumhoji Gavana Sonko kuhusu kizaazaa kilichoko

MTAFARUKU WA PUMWANI

Baada ya kugonga vichwa vya habari kwa muda sasa, imeibuka kwamba huenda sababu ya vifo ambayo vimekidhiri katika hospitali ya kujifungua ya Pumwani imechangiwa na uhaba wa wauguzi na madaktari wataalam huku baadhi wakidaiwa kutelekeza majukumu yao.

Hii ni kufuatia kisa cha Jumatatu ambapo Gavana wa Nairobi Mike Sonko alizuru hospitali hiyo ghafla na kukumbana na changamoto zinazoikodolea macho hospitali hiyo ikiwemo ukosefu wa chumba maalum cha kuhifadhi maiti.

 

 

Show More

Related Articles