HabariK24 TvSwahiliVideos

MITO YA MASAIBU : Ofisi ya chifu ndiyo iliyosalia kijijini “Hamjaona” Tana River kufuatia gharika

MITO YA MASAIBU

Tangu siku ya Jumatatu, tumekuwa tukikuandalia msururu wa taarifa kutoka kaunti za Tana River na Kilifi kuhusu madhara ya mafuriko na maisha wanayoyapitia wakaazi walioathirika na mafuriko.

Kwenye sehemu ya tatu  katika makala ya Masaibu ya Mito,Dennis Matara amekuandalia taarifa kuhusu kijiji kimoja katika kaunti ya Tana River, kinachoitwa “Hamjaona” ambacho wenyeji walikigura na kumwacha chifu wao peke yake kutokana na mafuriko ya mara kwa mara,ni afisi ya chifu pekee ambayo imebaki kusimama wima kijiji kizima.

 

Show More

Related Articles