HabariK24 TvSwahiliVideos

SAUTI TAJIKA : Tunamchambua Felix Odiwuor(Jalas) mwanasarakasi na mtangazaji 

SAUTI TAJIKA

 Felix Oduor in jina lake, ila wengi wanamfahamu kama Jalang’o.  anajulikana sana kwa uigizaji, utangazaji na pia gwiji wa kufanya matangazo ya kibiashara. Hivi maajuzi alichaguliwa kuwa  msimamizi wa hafla katika ziara ya aliyekuwa rais wa Makerani Barack Obama.

Hata hiyo safari yake, imekuwa  ya kipekee, kwani japo kufika kidato cha nne, na hata kuwa mvuvi, amefanya kazi nyingi za kawaida, kufika alipo. Joab Mwaura, amekuandalia taarifa hii kwenye makala, Sauti Tajika wiki hii.

 

Show More

Related Articles