HabariMilele FmSwahili

Mlinzi wa Obado ,Elvis Omondi kuzuiliwa kwa siku 10

Mahakama imeamuru kuzuiliwa kwa muda wa siku 10 mlinzi wa gavana wa Migori Okoth Obado,Elvis Omondi na karani  wa bunge la Migori Caspal Obiro.Wawili hao wanashukiwa na mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo Sharon Otieno.Tayari maafisa wa jinai wanataka kumhoji mkewe gavana Obado,Hellen Obado kuhusiana na mauaji hayo ya Sharon Otieno.

Show More

Related Articles