HabariMilele FmSwahili

John Waluke akanusha madai ya kuhongwa ili kuangusha ripoti ya sukari bandia

Mbunge wa Sirisia John Waluke amekanusha madai ya kupokezwa hongo ili kuangusha ripoti ya sukari bandia.Akifika mbele ya kamati ya bunge kuhusu mamlaka Waluke amesema hakuwa karibu na mbunge Didimus Barasa aliyeibua madai hayo.Anasema tayari amemuonya Barasa dhidi ya kumhusisha na madai ya kupokezwa hongo.Kadhalika Waluke anasema hatua ya Warasa kuwasilisha malalamishi ya hongo ilitokana na uamuzi wa kupewa shilling elfu 10 badala ya elfu 100 ili kuangusha ripoti hiyo ya sukari

Show More

Related Articles