HabariMilele FmSwahili

Mfungwa 1 auwawa na mwenzake katika gereza la Kibos Kisumu

Mfungwa mmoja ameuwawa mwenzake katika gereza la Kibos kaunti ya Kisumu.Kamishna wa magereza Isiah Osugo ameiambia Milele Fm mwendazake alizozana na mfungwa mwenza walipokuwa shambani mapema leo na aliuuwawa kwa kutumia jembe.Osugo anasema uchunguzi zaidi unaendelea.

Show More

Related Articles