HabariMilele FmSwahili

Noordin Hajji ataka mahakama kusitisha kwa muda kesi inayomkabili Mwilu

Kiongozi wa mashtaka Noordin Hajji amewasilisha ombi mahakamani kutaka agizo la kusitisha kwa muda kesi ya ulaghai inayomkabili naibu jaji mkuu Philomena Mwilu. Kulingana na Hajji agizo la mahakama kuu kusitishwa kesi hiyo  halifai kwani litahujumu  kesi dhidi ya Mwilu. Kesi hio imeratibiwa kusikizwa Oktoba 9 .

Show More

Related Articles