HabariMilele FmSwahili

Mamia ya kina mama waandamana Meru kulalamikia mauaji ya Marrybel

Mamia ya kina mama wameandamana mjini Meru kulalamikia vikali mauaji ya Marrybel Kapolon bintiye hakimu mkuu wa mahakama ya Githongo Caroline Kemei.Kina mama hao wameshinikiza idara ya usalama kuwasaka na kuwashtaki mahakakani wahusika wote wa mauaji ya msichana huyo wa miaka 9 ambaye mwili wake ulipatikana usiku wa kuamkia jana katika msitu wa Gitoro huko Meru.

Show More

Related Articles