People Daily

Mvulana wa miaka 5 aangamia kufuatia mkasa wa moto Kayole Nairobi

Mvulana wa miaka mitano ameangamia kufuatia mkasa wa moto mtaani Kayole hapa jijini Nairobi usiku wa kuiamkia leo.  Moto huo unaarifiwa kuanza katika nyumba alikokuwa amelala mtoto huyo na kusambaa hadi nyumba zingine. Familia kadhaa zimeachwa bila makao kufuatia msaka huo. Polisi wanachunguza chanzo cha moto huo.

Show More

Related Articles