HabariSwahili

Baada ya machafuko Njoro

Washukiwa watano wa uchochezi wa ghasia katika eneo la Njoro kaunti ya Nakuru hii leo wamefikishwa mahakamani mjini Nakuru kufunguliwa mshtaka.
Watu watatu walipoteza maisha huku saba wakijeruhiwa kufuatia ghasia baina ya jamii mbili za eneo hilo.
Miongoni mwa washukiwa hao ni naibu spika wa kaunti ya Nakuru Samuel Tunoi.

Show More

Related Articles