HabariMilele FmSwahili

Waakilishi wadi Vihiga watishia kumngoa mamlakani gavana Wilber Ottichilo

Waakilishi wadi kaunti ya Vihiga wametishia kuwasilisha hoja ya kumngoa mamlakani gavana Wiliber Otichilo.Wakiongozwa na mwakilishi wa Wodanga,  Vincent Atsiaya wanamshutumu kwa madai ya utepetevu kazini na kukosa kutekeleza miradi muhimu.Akiongea huko Gisambai Atsiaya amedhibitisha kuwasilishwa kwa hoja  hiyo bunge akisema Otichilo amekosa kutimiza ahadi zake kwa wenyeji.

Show More

Related Articles